🖼️ Jinsi ya Kupakia Picha kwa Link (.jpg/.png)
Fuata hatua hizi ili uweze kupata link ya picha yako kwa kutumia https://i.postimg.cc:
- Fungua tovuti ya https://i.postimg.cc
- Bonyeza kitufe cha Choose images na uchague picha kutoka kwa kifaa chako
- Subiri picha ipakiwe hadi ianze kuonekana
- Chagua sehemu iliyoandikwa Direct link
- Copy (nakili) link hiyo ambayo inaisha na
.jpg
au.png
- Paste link hiyo kwenye sehemu ya fomu inayohitaji picha
MFANO WA LINK SAHIHI:
https://i.postimg.cc/abcd1234/jina-la-picha.jpg
Kumbuka: Usitumie link ya "Thumbnail" au "Viewer link". Tumia tu Direct link yenye mwisho kama .jpg
au .png