🎧 WIMBO MPYA! | NIPE RAHA - KYOMA - Download Here 🎧

🎧 Sikiliza: Kyoma - Nipe Raha 🎧
Bonyeza ▶️ ili kuisikiliza moja kwa moja.
Tafadhali share na support msanii wetu 🙌
Mashabiki wapendwa, msanii wetu KYOMA ameachia rasmi kibao kipya chenye ladha ya kipekee kinachoitwa "NIPE RAHA" – wimbo wa mapenzi uliojaa hisia halisi, melody tamu na ujumbe unaogusa moyo ❤🔥
🟢 Sikiliza sasa kupitia links zifuatazo:
🟣 Inapatikana pia kwenye platform zote kama Spotify, Apple Music, Deezer na zingine.
💬 Tafadhali share, comment na support kazi za msanii wako!